Rabu, 07 Juni 2023

Wizara Ya Utamaduni,Sanaa Na Michezo Wametukumbudha Mbali Sana :Mhe. Zungu

 Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana. Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo...

Watendaji Wa Serikali Zingatieni Sheria - Mhe.Majaliwa *Asema Lengo Ni Kuiepusha Serikali Kuingia Katika Migogoro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini DodomaWazirti Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali...

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Awaandalia Hafla Ya Kuwapongeza Wachezaji Wa Timu Ya Yanga, Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Akiwasili Mkoani Tabora Kwa Ufunguzi Wa Umisseta

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo tarehe 06 Juni 2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwaajili ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mw...

Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar Inaridhishwa Na Kazi Kubwa Inayofanywa Na Timu Nzima Ya Unicef

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumza na  mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF  Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.06/06/2023.Rais...

Makamu Wa Pili Wa Rais Wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Amezindua Kampeni Ya Msaada Wa Kisheria

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sheria pamoja na Wasaidizi wa Sheria wakati akizindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Mjini Magharibi uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil kikwajuni Jijini Zanzibar.Baadhi ya Viongozi, Wadau...

Kuna Umuhimu Wa Kupewa Mafunzo Kwa Wafanyakazi Ili Waweze Kufanya Kazi Zao Kwa Uweledi

Na Maulid Yussuf  - WMJJWW Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Bi.Abeida Rashid Abdallah amesema kuna umuhimu wa kupewa mafunzo kwa wafanyakazi ili waweze kufanya kazi zao kwa weledi.Akifungua mafunzo kwa wakuu wa vitengo na divisheni wa Wizara hiyo katika ukumbi wa Sebleni kwa Wazee, Bi Abeida amesema ni lazima kuwakumbusha wafanyakazi, sheria, miongozo pamoja...