Wananchi mbali mbali wa Kaskazini Unguja wakifanya usafi wa mazingira katika hospitali ya kivunge mkoa wa kaskazini Unguja kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani ambayo huadhimishwa kila ifikapo mei 5. hafla iliyofanyika juni 04,2023.Picha na Fauzia Mussa - Maelezo Zanzibar.Na Rahma...
Rabu, 07 Juni 2023
Smz Inajivunia Ushirikiano Mzuri Ulipo Baina Yake Na India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Balozi Mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Dr.Kumar Praveen ,aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar .Rais wa Zanzibar na...
Wizara Ya Utamaduni,Sanaa Na Michezo Wametukumbudha Mbali Sana :Mhe. Zungu
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana. Naibu Spika Mhe. Zungu amesema hayo...
Watendaji Wa Serikali Zingatieni Sheria - Mhe.Majaliwa *Asema Lengo Ni Kuiepusha Serikali Kuingia Katika Migogoro

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini DodomaWazirti Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Awaandalia Hafla Ya Kuwapongeza Wachezaji Wa Timu Ya Yanga, Ikulu Jijini Dar Es Salaam
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango Akiwasili Mkoani Tabora Kwa Ufunguzi Wa Umisseta

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo tarehe 06 Juni 2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwaajili ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mw...
Milango Kwa Wawekezaji Wa Biashara Ya Kaboni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili kuhifadhi mazingira. Amesema hayo leo Juni 06, 2023 wakati wa kikao na Mkuu wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora Dkt. Rashid Chuachua pamoja...